Tatizo la
mpenzi wangu ni kutoa harufu kali na tutoa utoko mweupe wakati tukiwa
faragha.Nimevumilia kwa muda wote huo nami nimejitahidi sana kutafta
dawa lakini tatizo naona haliishi.
Japo
nampenda sana lakini hali ile inasababisha nikose hamu ya tendo la ndoa
na kusababisha niishie round moja na hilo round moja najitahidi kumweka
katika style ambayo hata harufu ikitoka sitoweza kuiskia moja kwa moja.
Mpenzi
wangu huyo ni mzuri,ana shape nzuri kwakweli Mungu kamjalia lakini kama
wasemavyo watu wazima kuwa Mungu hakupi vyote basi yule ndo kapata huo
ugonjwa.
Mara ya
kwanza wakati nasex nae ile wakati tunafanya romance sasa nikawa
nimepeleka mkono sehemu ya papuchi bt nilikuwa bado sijamvua skin jeans
lakin harufu iliweza kupita kwenye chupi,tyte na mpaka skin jeans na
kufikia mkono wangu….aibu gani mwanamke kuwa na harufu hiyo.
Kwakweli
nilijitahid kuvumilia harufu hiyo na utoko lakini naona nimeshindwa
maana hata tokea nimekuwa nae mtoto wa kiume sikuwahi kuzama chumvini
kwa kuhofia kupata fangasi.
Nahisi nakuwa simfikishi kileleni maana nakosa hata ujasiri wa kumwandaa kutokana na harufu hiyo.
Tatizo jingine huyo mpenzi akinyoa nywele sehemu za siri kama kwapa na papuchi anatokwa na mapele,kwakweli nakuwa nakosa amani.
Naomba
ushauri wa namna ya kumaliza hili tatizo au dokta mzuri wa wanawake ili
niweze kumsaidia huyu dada huko mbeleni asije kuhadhirika.
0 comments:
Post a Comment