Muigizaji wa filamu nchini Elizabeth Michael 'Lulu'.
Muigizaji wa filamu Elizabeth Michael 'Lulu' anaendelea kuonesha
hisia zake kwa Justin Bieber na sasa ameeleza kuwa atakuwa anamuandikia
ujumbe kila Jumatatu.Kupitia Instagram, Lulu amepost picha ya Justin Bieber akiwa kifua wazi akipiga kinanda na kuandika ujumbe akiwajibu wale wanaodai kuwa anaota ndoto za mchana na kwamba hatampata
0 comments:
Post a Comment